Tuesday, 9 May 2017


Msanii kutoka kundi la Jambo Squad la Jijini Arusha, Chalii ya Jambo a.k.a Mtoto wa Bibi, mwishoni mwa juma lililopita aliamua kufunga pingu za maisha na namekusongezea baadhi ya picha kutoka kwenye harusi hiyo
Akiandika katika ukurasa wake na kusema Asante Mungu kwa kunipa hili Tunda .. Nashkuru siku ya Jana nimefunda ndoa Salama . #AboutYesterday hongera mtoto wa bibiπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ’™πŸ’—πŸ’—

No comments:

Namna ya kupika Vitumbua Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni ch...